Polisi akifyatua bomu la machozi kwa Mwangosi

hii ndivyo picha inavyoonesha police walivyoondoa uhai wa mwanahabari wa chanel ten na inasemekana walikuwa wanamuwinda toka siku nyingi tu sana kutokana na wao kutofurahishwa na habari alizokuwa akiziandika

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, August 31, 2016

HABARI ZA HIVI PUNDE:MANDAMANO YA UKUTA YAAHIRISHWA


CHADEMA yatangaza kuahirisha ‘Operesheni UKUTA’ hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema maandamano ya UKUTA yameahirishwa kwa mwezi mmoja hadi tarehe Oktoba Mosi.

Aidha Mhe. Mbowe amesema “Tumepata wakati mgumu kufikia uamuzi, sio kila wakati viongozi tutafanya mambo yatayowapendeza wanachama wetu. Viongozi wa dini awali walikuja na ajenda moja, kuomba wabunge wa UKAWA warejee bungeni. Kamati kuu ya CHADEMA imepokea kwa heshima sana wito wa viongozi wa dini”.

Freeman Mbowe asema wamekutana mara nyingi kwenye vikao na Viongozi wa Dini lakini CCM imekuwa ikigoma kudhuria vikao hivyo.

Wednesday, May 15, 2013

Europa League: Chelsea Makes History

Chelsea has the unique distinction of being the Champions League titleholders (at least until May 25) and the winners of the Europa League,Chelsea is a European champion Again.


 

After a dramatic win in last year’s Champions League final against Bayern Munich, Chelsea added the Europa League trophy to its haul by beating Benfica, 2-1, in Amsterdam on Wednesday with a goal in stoppage time.
Chelsea becomes the first English team to win all three major European club competitions, having already claimed the Champions League and the now-defunct Cup Winners’ Cup.
The win came against the backdrop of a tumultuous season, but it was also characteristic of a resilient and determined team that has made an art of collecting trophies in unconventional fashion.
For much of the campaign, it looked as though Chelsea would perform far below its own standards. After a slow start in the Premier League, Chelsea was left trying to secure a Champions League spot for next season’s tournament. In addition, the Champions League-winning coach Roberto Di Matteo was dismissed after a 3-0 loss to Juventus in November, a loss that essentially eliminated the club from this season’s competition.

Di Matteo’s dismissal after he won two major trophies, along with the appointment of the unpopular Rafael Benítez as the interim manager, raised several questions and cast doubt over the team’s direction. A loss to Corinthians in the World Club Cup final in December only added to those reservations.
The goal scorers: Branislav Ivanovic,
 right, and Fernando Torres.
 

 

Benfica created chance after chance while its opponent appeared largely uninspired. Benfica dominated possession in the first half and continually managed to pass its way around the Chelsea defense, lacking only a final touch or finish to score. That pattern continued into the second half, which made Fernando Torres’s opening goal even more surprising.
Torres had taken a knock earlier in the game, and his teammates had struggled to find him up to that point. Then, out of nowhere, in a three-touch sequence around the hour mark, Chelsea found its way past Benfica to take the lead.
Goalkeeper Peter Cech sent a ball forward, which midfielder Juan Mata delicately chipped Torres’s way. Torres rounded Benfica goalkeeper Artur to score his ninth goal in Europe this season. Only Real Madrid’s Cristiano Ronaldo and Borussia Dortmund’s Robert Lewandowski have scored more this season.
Benfica persisted and continued to put pressure on Chelsea. It was finally rewarded when the referee Bjorn Kuipers awarded Benfica a penalty. Óscar Cardozo stepped up and leveled the score.
A year earlier, Chelsea also had its back to the wall when Bayern Munich scored with less than 10 minutes to go. In that game, Chelsea improved as the match progressed. Sure enough, Chelsea did it again.
Despite the equalizer, Chelsea seemed to gain confidence and began to display its resilience and determination of last year. With the clock running down, Benítez surprisingly insisted on not making any substitutions; his counterpart, Jorge Jesus, used all three substitutes in the final 12 minutes of the match.
In the final minutes, defender Branislav Ivanovic leaped over everyone to hit a looping header for the match-winning goal.






Chelsea now joins Bayern Munich, Ajax and Juventus in an elite group of teams that have won all three major club competitions (the Champions League, the Europa League/UEFA Cup, and the Cup Winners’ Cup). It also become only the second European team to win both major competitions back to back and the first to hold them at the same time.
Benítez, meanwhile, will leave the club at the end of the season with an illustrious record. He became the second coach to win a major European club trophy with three teams, following the German coach Udo Lattek.
Torres and Mata also join an exclusive list of players, becoming the third and fourth players to have won the World Cup, the European Championship, the Europa League and the Champions League in their careers, after the German players Jürgen Kohler and Andreas Möller.
The exhilarating finish came near the end of a long and tiring season for Chelsea, which was playing its 68th game. But despite all the turbulence surrounding the club, the owner Roman Abramovich can be content knowing that his club won its 11th trophy in his 10 years in charge and made history, again.











Monday, May 13, 2013

Man U find new coach

 

DAVID Moyes has admitted that he had been swaying towards staying at Everton before Manchester United called for him to replace Sir Alex Ferguson.




The Everton boss, who was nearing the end of his contract, was insistent that he would not discuss his future until the end of the season when he had evaluated how the Toffees had fared.
However, Ferguson revealed on Wednesday that he would retire from his post at United and the club moved swiftly to get Moyes, who was confirmed on Thursday as the first new manager at Old Trafford since 1986.
Admitting that he had been leaning towards continuing his 11-year-long stay at Goodison Park, Moyes said: "I was not planning to leave Everton. My mind was actually swaying towards staying at Everton. I have everything in place for next season and the chairman knows the route that we want to go."
Though reporters were told they would not be allowed to ask directly about his move, Moyes did reveal how difficult it was to leave Everton.
"It was very difficult because I have great respect for the chairman (Bill Kenwright). He is a great guy - never critical, always supportive. It was a difficult meeting to tell him I would be leaving," Moyes said.
"Sometimes you have to leave a club and I hope that I am leaving them in the best way I can."
Moyes also paid tribute to the man he will be replacing at Old Trafford.
"I don't think anybody thought he would retire," he said.
"He is superhuman. I thought he was a great example to everyone in their 70s.
"He will be sorely missed. He always had a word for everyone. I know how much he is respected."
Moyes insists he will help Kenwright find his successor at Goodison Park and believes the foundations are there for Everton to continue to develop.
"Walter Smith [Moyes' predecessor] was very good with me ... Anything that I can do to help Bill and the club, I will do," he said.
Moyes insists that he will work to ensure that Everton finish the season strongly in their remaining two games - beginning with his last match in charge at Goodison on Sunday against West Ham.
"We have gone about training in the normal way," said Moyes, who admitted that the week had been "turbulent".
The question has been raised that Moyes might have stepped aside before the final two games and the Scot is glad he has not been asked this, even though he would have answered the question if it had been posed.
"I hoped I would get the chance to finish off the job," he said.

Saturday, May 11, 2013

Utawala mpya

Pia inasemwa kwamba Moyes hajawahi kusafiri na timu kwenda hata jijini Milan kutetea ushindi. Zaidi ya yote, Moyes si kama Jose Mourinho.Akiwa kocha wa Everton, staili yake ya uchezeshaji ni nzuri lakini haihamasishi kusaka ubingwa.

WIKI hii kumekuwa na mlolongo wa matukio kwenye soka la kimataifa. Jumatano kocha, Alex Ferguson, alitangaza kujiuzulu na juzi Alhamisi kocha wa Everton, David Moyes, alipewa mikoba ya kuiongoza Manchester United.
Ferguson anasema kocha huyo ni mzuri na ataifikisha timu mbali, lakini wengi wanajiuliza iwapo Moyes ni thabiti kuongoza klabu hiyo na kama anaweza kupata mafanikio ya kocha huyo kutoka Scotland.
Kuna taarifa mbalimbali zinazosema kuwa Moyes hana sifa ya kuwa kocha wa Manchester United, kila mmoja anatoa sababu zake.Kinachoelezwa kwa Moyes ni kwamba, hakuwahi kutwaa vikombe wala kufundisha timu iliyowahi kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hakuwahi kumnasa mchezaji wa dau linalofikia Pauni 30 milioni, hafahamu mipango ya kutengeneza mazingira ya kutwaa ubingwa katika hatua za mwisho wa ligi.
Pia inasemwa kwamba Moyes hajawahi kusafiri na timu kwenda hata jijini Milan kutetea ushindi. Zaidi ya yote, Moyes si kama Jose Mourinho.Akiwa kocha wa Everton, staili yake ya uchezeshaji ni nzuri lakini haihamasishi kusaka ubingwa.
Itakumbukwa katika msimu ambao Blackpool ilicheza kabla ya kushuka daraja, iliifunga Everton na kikosi cha Moyes kikamaliza nafasi ya saba.Kwa upande mwingine, Manchester United chini ya Sir Alex Ferguson ina kazi ya kusaka mabao tu. Katika misimu minane ya Moyes, nafasi ya Everton ilikuwa mbaya kutokana na kushindwa kutengeneza safu imara ya washambuliaji.
Walikuwa wa saba katika msimu wa 2010/11, lakini klabu 10 zilifunga mabao zaidi yao.
Walikuwa wa 11 msimu wa 2005/ 2006 na pia ni msimu ambao walifanya vibaya mno. Everton kwa sasa ipo nafasi ya sita na inaweza kumaliza hata nafasi ya saba.
Bado kuna maswali mengi, kwamba kweli Moyes ni kocha stahiki wa kumrithi Ferguson Manchester United?
Kwa nini inasemekana Man United ni kama imepotea kwa kuchagua jina la mtu ambaye nyota yake haijang’aa wakati kuna makocha wenye majina makubwa Ulaya kama, Carlo Ancelotti aliyewahi kuzinoa AC Milan, Juventus, Chelsea na Paris St-Germain?
Mwingine ni Mourinho aliyewahi kuzinoa Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid?

Ferguson ajibu
Hayo ni mawazo ya watu tu, lakini Alex Ferguson anaamini Moyes ana sifa zote za kuinoa Manchester United na siku zote alikuwa akimwaza kuwa ni mmoja wa makocha wanaoweza kumrithi. Ferguson alisema anatarajia makubwa kutoka kwa kocha huyo.
“Wakati tulipojadiliana juu ya nani anaweza kazi kwenye klabu hii, kila mtu alikiri Moyes ni mtu sahihi. Sidhani kama mtu yeyote ana swali juu ya kiwango chake. Atawapeleka puta wapinzani wake,” alisema.
Naye Mwenyekiti wa Everton, Bill Kenwright, amekiri amempoteza kocha mahiri. Bill alisema kuwa kama angekuwa na nguvu ya kumzuia angemzuia, lakini hana uwezo huo na akaongeza kuwa amepata pigo kubwa.
Naye Moyes alisema anajiona mwenye bahati kuwa kocha mpya wa Manchester United.
Pia mkongwe wa Old Trafford, Sir Bobby Charlton, alisema David Moyes ni mashine mpya kwenye klabu hiyo. Mkurugenzi huyo aliongeza: “Nimewahi kusema nataka kocha mpya awe anaifahamu Man United. Moyes anafahamu cha kufanya.”
Baada ya kukubali kutua katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka sita Moyes alitamka: “Ni jambo la heshima kuona Ferguson akinichagua, ninaheshimu kila kitu alichofanya. Itakuwa ni kazi ngumu kufuata nyayo za kocha mzuri, lakini nitajitahidi.”

Monday, November 19, 2012

MH. LOWASSA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA KILUTHERI BABATI


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akihutubia waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Babati wakati wa Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa hilo Usharika wa Babati,Mkoani Manyara.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh Edward Lowassa amesema wakati umefika sasa hapa nchini elimu ya sekondari iwe ni elimu inayotolewa bure na kumwondolea mwananchi mzigo . Lowassa amesema hayo jana mjini Babati wakati wa harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Babati.

Alisema kwa sasa kila kata hapa nchini ina shule ya sekondari na huo ulikuwa mpango wake akiwa Waziri Mkuu na alisimamia kikamilifu suala hilo na kufanikiwa kwa asilimia mia moja.Shule hizo za kata ni maarufu kama shule za Lowassa. Hata hivyo kiwango kinachotolewa na shule hizo ni cha chini sana. Waziri Mkuu huyo mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli alisema sasa wakati umefika kwa kila mtanzania kulizungumzia suala hilo bila ya woga hususani wadau wa elimu na kuongeza kuwa. 

''Ni lazima tukubali na tujadili suala hilo kwa manufaa ya nchi kwa kila mtanzania kukubali ushauri huo wa elimu ya sekondari kuwa ya bure''alisisitiza na kuongeza kuwa kuwa ni vyema baada ya kulijadili suala hilo la elimu ya bure ya sekondari tena elimu iliyo bora liwemo kwenye ajenda za Chama cha Mapinduzi (CCM) za uchaguzi mkuu wa 2015.

Lowassa alisema kuwa hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete alitoa wito kwa shule za sekondari kujenga maabara kwa wingi,hivyo kwa hiyo amesema ni suala linalopaswa kuungwa mkono na kila mtanzania na pia elimu ya bure katika sekondari nayo inapswa kuungwa mkono. ‘’Nasema sasa wakati umefika elimu ya sekondari kuwa kama elimu ya msingi kwa watoto kusoma bure kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne ‘’alisema.

Lowassa aliwaasa pia wadau mbalimbali hapa nchini kuwa mstari wa mbele kuchangia elimu ili nchi hapo baadae iwe na vijana wenye elimu ya kutosha na ya hali ya juu

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendelea kupokea michango mbali mbali kwenye Harambee ya Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Babati,Mkoani Manyara.
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini,Mhe. Jitu Vrajlal Soni (wa tatu kulia) akizungumza wakati wa Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Babati,Mkoani Manyara.Wengine pichani toka Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye Harambee hiyo),Mbunge wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri na Kulia ni Diwani wa kata ya Endamilay (CCM) Gesso Bajuta.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimpongeza Mbunge wa Viti maalum Mkoani Manyara (Chadema),Mh. Pauline Gekul mara baada ya kuchangia kwenye Harambee ya Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Babati,Mkoani Manyara leo.Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini,Mhe. Jitu Vrajlal Soni.
Baadhi ya Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Harambee hiyo ya Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Babati,Mkoani Manyara. Picha na habari kwa hisani ya Issa Michuzi.blog

RATIBA YA MIKUTANO YA MAONI YA KATIBA MANISPAA YA ILALA, DAR ES SALAAM.


Sunday, November 11, 2012

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU ALOYSIUS BALINA WA JIMBO KATOLIKI LA SHINYANGA

Rais Jakaya Kikwete

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mhashamu Baba Askofu Aloysius Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga baada ya kuwasili kwenye Kanisa la Mama wa Huruma katika Parokia ya Ngokolo mjini Shinyanga kushiriki mazishi ya Askofu huyo jana, Jumamosi, Novemba 10, 2012.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mhashamu Baba Askofu Aloysious Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga wakati wa mazishi wa Askofu huyo kwenye Kanisa la Mama wa Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Askofu Aloysius Balina wakati wa mazishi ya Askofu huyo jana kwenye Kanisa la Mama wa Huruma, mjini Shinyanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Askofu Aloysius Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga wakati wa mazishi ya Askofu huyo kwenye Kanisa la Mama wa Huruma, Ngokolo, Shinyanga jana.
(Picha na mdau Fred Maro-Ikulu)