kampala international university dar es salaam
Wanafunzi wahitimu walalamikia kuwa hela ya graduation ni kubwa sana,na baadhi yao wasema hawata mudu kiasi hicho cha fedha.
"kwanini graduation tusifanyie hapa hapa? kwani kuna ulazima gani kwenda kufanyia huko Kampala Uganda? hatuoni sababu ya kwenda kufanyia huko tunataka kufanya graduation yetu hapa hapa......"alisema mwanafunzi mmoja kwa uchungu.
Imeandikwa na Izaya. kutoka Easy2Eye.
0 comments:
Post a Comment