Wednesday, October 31, 2012

UCHUNGUZI MAALUM KUFANYIKA KUHUSU BIL 25 ZILIZOCHUKULIWA NA HAZINA - ZITTO KABWE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.

WAZIRI wa Fedha amekubaliana na ombi langu la kufanya uchunguzi maalum kuhusu fedha jumla ya tshs 25bn zilizochukuliwa na hazina kutoka Halmashauri zote nchini. Jibu la Serikali halikukidhi haja maana lilijibu mwaka wa fedha 2011/12 badala ya 2010/11. Kuna haja kubwa ya kuziba mianya ya ubadhirifu wa fedha za umma -Zitto Kabwe

0 comments:

Post a Comment